'Wachana na makeup,'Millicent Omanga aambiwa na mashabiki huku akijibu

Muhtasari
  • Seneta Millicent Omanga ashauriwa na mashabiki aache kujipodoa baada ya kuposti picha kwenye ukura wake wa facebook
omanga
omanga

Kwa muda sasa seneta Millicent Omanga amkuwa akipakia picha zake kwenye mitando ya kijamii huku akiwa amejipodoa.

Omanga ni kiongozi ambaye amekuwa akiwasiliana na wakenya kwenye mitandao ya kijamii kwa njia tofauti.

Mapema wiki hii aliposti picha huku mashabiki wake wakimshauri awache kujipodoa kwa maana yeye ni mrembo jinsi alivyo.

 

Baada ya kuona malalamishi ya wanamitandao, mwanasiasa huyo aliweza kuposti picha nyingine bila mapodozi huku akiandika ujumbe huu.

"Nimeona malalamishi mnasema nicheze na Arimis hii design niache madoido mob πŸ˜‚.Wikendi Njema amaizing people."Aliandika Millicent.

Kwa utani aliendelea kunakili ujumbe wake na kuwaambia mashabiki wake kwamba hawajamwambia vyema.

"Ati nilikuwa nakaa watu wa halloween mara nakaa jini πŸ˜‚πŸ˜‚ by the way hamjanishow poa."

Millicent Omanga
Image: Hisani

Hizi baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya kupakia picha yake bila mapodozi;

Frank Dikko: Enyewe uko sawa

Ben Kamaa: Very very very very very very beautiful when natural. Those lips wow

 

Lacoste KE: This way, you win yourself a million mafisis and another bunch of a million voters for your 2022 journey.

Gikonyo Kiarie: Kuna venye ulikuwa unajigonga make up Unakaa ghost of gurba tula...now look at yourself, vindu vihot.

Wakilonzo Rnk: You're beautiful without makeups milly

Zachary Maningaa: uko fiti sana mama miradi, iyo ngozi imenyoooka sana na arimisπŸ‘

Sigei Kipz: Mungu aliconcetrate kukuumba mama miradi,,,, head and abdomen inanipandisha temp πŸ˜…πŸ˜