Shakilla adai anaujauzito wa Eric Omondi saa chache baada ya mchekeshaji huyo kutangaza mke wake

Muhtasari
  • Shakilla adai anaujauzito wa Eric Omondi saa chache baada ya mchekeshaji huyo kutangaza mke wake
Shakilla
Image: Hisani

Mwanasosholaiti chipukizi Shakilla amewaacha mashabiki wakizungumza mengi na kutoa hisia tofauti huku wakiwacha na maswli mengi kuliko majibu.

Hii ni baada yake kusema kuwa ana ujauzito wake mchekeshaji Eric Omondi.

Kupitia kwenye video aliopakia kwenye ukurasa wake wa instagram alisema kwamba walifanya ngono na Eric na hata wacha mtoto wake aombe au ateseke baba yake akiwa hai.

 

Alifichua haya akimpongeza mshindi wa kipindi cha eric cha 'Wife Material' kilichopeperushwa

wiki chache zilizopita huku wakenya wakimchagua Carol kama mshindi na mwanamke ambaye anamfaa Eric Omondi.

Huu hapa ujumbe wake Shakilla.

  "Nampongeza mshindi na mkewe Eric Omondi, nawatakia mema nilindie Eric,lakini tunajua sisi sote siwezi kubali mtoto wangu nikiwa nawe alelewe mitaani 

Wacha mchezo uanze rasmi." Shakilla aliandika.

Hizi hapa baadhi za hisia za wanamitandao;

djshiti_comedian: Baby umenisaliti but it's okay.... Ill just heal but remember karma!!!!!!?

 

mitchyshirr: 😂😂😂😂😂nilijua lzma utoe speech

_bey.t: Ati Baby with him😂‼️‼️Zzii zii ziii tebu we already one Shakillaa😂😂Shakillaa Junior Hell Naw😂😂↘️⬆️⬇️⬅️➡️⬇️↗️Huyo apelekwe TZ

bandanafather: 😂😂😂hio kitambi joh.. utafanyiwa liposuction ya kitambi

_ayaan___; You didn’t win because he didn’t like the way you pronounce his name 😂😂

__boybest__: Shida si akona ball ..ni alipata aje

dagustinoh: Shidaaaa. Kwani alimwaga ndani?😢😢😢😢

ka.hi.gah_:😂😂Sa atii ukona ball ya eric🔥