'Nilioa mpenzi wa maisha yangu,'Eric Omondi afunga pingu za maisha

Muhtasari
  • Eric Omondi amuoa mpenzi wake wa maisha yake huku akiapa kumpenda na kumthamini maishani mwao

Mchekeshaji Eric Omondi amefunga pingu za maisha na mpenzi wake Carol ambaye alichaguliwa na wakenya kuwa mke wake bora kutoka kwa kipindi chake cha 'Wife material'.

Picha za hafla hiyo zilipakiwa kwenye mitandao yao ya kijamii huku mashabiki wakiwapongeza wawili hao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Eric aliapa  kumpenda mpenzi wake maishani mwake.

 

"Nilioa mpenzi wa maisha yangu Carol @bandbeca, naahidi kukupenda na kukuthamini maisha yetu yote

Singefikiria maisha Sikuweza kufikiria kufanya maisha haya na mtu mwingine yeyote. Na kama hiyo NIGGA ameenda." Aliandika Eric.

Hizi hapa baadhi ya pongezi za wanamitandao;

mulamwah: Hio Suti ya sofaset imeweza 💥 , congrats bro . Wacha tushughulikie wale wengine saba sasa

mtunecessary:Suti ni suti inakaa ile ya jeje naona Diamond amekubless ukuje uwabebe😂😂

davy_kingpin:Hii huwezi jua kaa ni comedy ama real😂😂

lashykyler88:😂😂while youre busy getting married 😂am busy shaving preparing going to school😫😫🤧anywho congrats ....love and keep her for life❤️🔥

 

mylifeasbyron: Congratulations erick😭😭😭

lorine_danisha: Congrats Carol❤️all the best😍

cessndutah: 👏👏👏wow congratulations

ann_6581: Kama vera Na akothee hawacomment congratulations hatuamini ‼️‼️

_ace.254_; Bazuu ameoa🔥🔥🔥😂

eddiebutita: Congratulations bro si amini umechukua ukaweka, Waaah sasa wewe sahau visa ya Italy kabisaaaaa