Siwezi tumikia Mungu ambaye hajibu maombi yangu-Ringtone asema haya

Muhtasari
  • Msanii Rngtone amtishia Mungu baada ya kusema kuwa anataka gari ya aina ya BMW
  • Ringtone alisema kwamba atafunga na kuomba kwa ajili ya gari hilo
ringtone
ringtone

Msanii w nyimbo za injili Ringtone Apoko kwa mara ya kwanza ameonekana kughadhabishwa na Mungu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram alipakia picha gari ambayo anahitaji ya aina ya BMW i8 huku akisema kwaba atafunga na kuomba kwa siku 40.

Msanii huyo alionekana mwenye hasira na kusema kwamba hawezi kumtumikia Mungu ambaye hajibu maombi yake.

 

Inaonekana msanii huyo amekuwa akiomba kwa ajili ya gari hilo huku akimtishia Mungu.

Huu hapa ujumbe ambao Ringtone aliandika kupitia ukurasa wake wa instagram;

"Kama Mungu hatanipa BMW i8  baada ya kufunga na kuomba kwa siku 40 nitaacha kuimba nyimbo za injili, siwezi tumikia Mungu ambaye hajibu maombi yangu." Aliandika Ringtone.

Ni ujumbe ambao ulivutia mashabiki huku wakimwambia haya;

stanoh._Si utype tu na kikisii...kizungu si poko ivo

teddy_untamed: So you're forcing God .... Kesho nenda kwa Magix Enga mkaunde beat 🀣🀣🀣

kenyan_oxgen_: You serve a living God broh

 

bandanafather: B**** please or what's your mind gonna doπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

evin.f.r.a.n.c.o.kevin: May you receive it in Jesus name πŸ”₯

ndindaa.aa: Am also pray to be ur wife. And if u will not say yes to me you ..i will dieπŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...uwezi kua na hii mali yote na hauna bibiπŸ˜‚..nikona kila kitu except long nailsπŸ˜‚izo tutatengeneza ju pesa ukonazo already πŸ˜‚πŸ˜‚