'Hii ni heshima kubwa kwa taifa letu,'Watanzania wamwambia Bahati baada ya kutoa wimbo huu

Muhtasari
  • Watanzania wamwambia Bahati baada ya kutoa wimbo akimuomboleza Magufuli
bAHATI 1
bAHATI 1

Siku chachezilizopita habari za kifo chake Magufuli kilitikisa Afrika mashariki yote, kifo chake kilitangazwa na naibu wake Suluhu ambaye sasa ni rais wa Tanzania.

Kulingana na Suluhu Magufuli aliaga dunia kutokana na matatizo ya moyo.

Baadhi ya wasanii wa Tanzania walitoa vibao vya kumsifu Magufuli na uongozi wake na kazi ambayo alifanya akiwa mamlakani.

Viongozi kutoka mataifa tofauti walimuomboleza  mwendazake huku wakimlimbikizia sifa tofauti.

Ijumaa msanii Bahati alitoa kibao cha kumsifu Magufuli alipokuwa uhai, na kumwambia asafiri salama.

Watanzania walimpongeza bahati na kumshukuru kwa kibao chake na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

peaclyian: Bahati hii ni heshima kubwa umetupa kwa Taifa la Tanzania..Asante saana.. tuendelee kumuombea woote...we humbled

sousten_kweka2: Thanx Bahat for this broo TANZANIA we love u so much!!! R.I.P my PRESIDENT

001_drip: Nenda salama😢

crish_officieltz: Bro your the best 🔥🔥👏

jw__watches: Wow this is very beautiful to listen to❤️❤️

paulapau78: Siamini kama amekufa haki😢😢😢

mbuguam16: 😢wow you are the best bro keep it up may his soul rip

diana_james2018: Your the best aisee

meddy_updates: Rip baba wa tanzania

tumso_heart: 😭😭😭😭😭Mtetezi wawanyonge whyyyyyyyyyyy

antelimsway: @bahatikenya tutakutunuku uraia wa Tz tu kwa heshima .😢

Hii happa video ya kibao hicho;

Artist :Bahati Title:Magufuli #Bahati #Magufuli #Tanzania #RIP