Manzi wa Kibera apandisha bei ya kulala na mwanamume kwa usiku mmoja hadi Sh900,000

Muhtasari
  • Manzi wa Kibera apandisha bei ya kulala na mwanamume kwa usiku mmoja hadi Sh900,000

Mwezi wa Juni 2021,Mwanasoshalaiti Wambui almaarufu kama Manzi wa Kibera kutoka Kibera aliwashangaza wanamitandao baada yakusema  kuwa inamgharimu mtu shilingi laki saba ili kulala usiku mmoja naye.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwanasosholaiti huyo chipukizi, amesema kwamba bei imepanda hadi laki tisa.

"Najua watu wataanza kuuliana kwani yangu ni ya ghorofa...eeeh kwanza ghorofa kumi na mbili,wanaume ndio imepanda ni elfi mia tisa kwa usiku mmoja

Hiyo elfu mia mbili nimeongeza ni kwa ajili ya kukandwa kwa mwili wangu," Alisema Manzi wa KIbera.

Hizi hapa hisia za wanamitandao;

ninakiarie: God you provide.. give her more than her plans she's beautiful and she deserves the best ..not this ..❤️🙌

frankiehjonie: 😂😂😂😂😂😂😢😢ˢᵒᵐᵉ ᵐᵃᵈⁿᵉˢˢ ⁿᵉᵉᵈˢ ⁱᵍⁿᵒʳᵃⁿᶜᵉ ᵇᵃⁿᵃ ᵃʳⁱᵐⁱˢ ˢⁱ ⁿⁱ 50 ᵇᵒᵇ ᵃᵐᵃ ⁱˡⁱᵖᵃⁿᵈᵃ

miss_ngumbao: Kunyonga ni Bure🤣🤣🤣🤣🤣

owinooscar04: Nipelekane wapi na mtumba, 900k ni shamba 2 acres huku busia

dakikatano: 900k put in Kenya's money market fund equals about 8000 monthly return for life. Use the info wisely