Ngono na Diamond la hasha! lakini bado tu marafiki - Zari

Wakati mwingine watoto wanafikiri tumetengeneza lakini hatujafanya hivyo. Hii ni kwa sababu mara chache Diamond ametutembelea.

Muhtasari

• Zari Hassan amefichua kuwa yeye na babake watoto wake Diamond Platnumz hawajakuwa na uhusiano wa kingono tangu walipoachana. 

• Wakati mwingine watoto wanafikiri tumetengeneza lakini hatujafanya hivyo. Hii ni kwa sababu mara chache Diamond ametutembelea.

• Wakati mwingine watoto wanafikiri tumetengeneza lakini hatujafanya hivyo. Hii ni kwa sababu mara chache Diamond ametutembelea.

Diamond na Zari
Diamond na Zari

Zari Hassan amefichua kuwa yeye na babake watoto wake Diamond Platnumz hawajakuwa na uhusiano wa kingono tangu walipoachana. 

Ingawa wameonekana pamoja mara kadhaa, Zari anasema yote ni kuhusu malezi ya pamoja. 

Akizungumza wakati wa mahojiano kwenye channel yake ya Youtube 'The Hassan's.

Mama wa watoto watano alisema,“Uzazi wenza umekuwa rahisi kwani tuliamua kuweka hisia zetu kando, sijawahi kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi baada ya kuachana. 

Wakati mwingine watoto wanafikiri tumetengeneza lakini hatujafanya hivyo. Hii ni kwa sababu mara chache Diamond ametutembelea.

Kama vile tulipokuwa tukirekodi Netflix alikuja Afrika Kusini. Ikiwa yuko chumbani mwangu mimi huwa natoka chumbani.Lakini sisi bado ni marafiki wazuri."