Maceleb waliorudi kwa Ex: Karen Nyamu kwa Samidoh, Rayvanny kwa Fahyvanny...n.k

Mwishoni mwa mwaka jana kufuatia sakata la Dubai Nyamu alisema ameachana na Samidoh lakini mwezi Februari tena wakarudiana.

Muhtasari

• Nimo Gachuiri aliwahi sema kuwa kuna kipindi alimwacha mumewe Mr Seed lakini maisha yakawa magumu na akaamua kumrudia.

• DJ Creme de la Creme baada ya kudai kuwa ndoa ni upuuzi, alirudiana na mkewe Denise tena mwaka 2022.

Image: William Wanyoike