Msimu wa riadha 2023 umekamilika, hawa ni wanariadha walioweka rekodi mpya za dunia

Faith Kipyegon aliweka rekodi 3 za dunia katika mbio za mita 1500, 5000 na maili kwa wanawake kabla ya rekodi hiyo ya mita 5000 kuvunjwa tena ndani ya miezi mitatu na Muethiopia Tsegay Gudaf.

Muhtasari

• Msimu mwingine wa riadha utarejea mwaka ujao huku mashindano makubwa yakiwa ni yale ya Olimpiki ya mwezi Julai.

Wanariadha walioandikisha rekodi mpya riadha
Wanariadha walioandikisha rekodi mpya riadha
Image: HILLARY BETT.