John Mbadi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha ugavana Homa Bay

Muhtasari
  • John Mbadi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha ugavana Homa Bay
Kiongozi wa wachache John Mbadi akionyesha kidole chake baada ya kuzozana na Mbunge wa Sigowet/Soin Kipsemgeret Koros
Kiongozi wa wachache John Mbadi akionyesha kidole chake baada ya kuzozana na Mbunge wa Sigowet/Soin Kipsemgeret Koros
Image: LUKE AWICH

Mwenyekiti wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), John Mbadi, amefuta nia yake ya kugombea ugavana Homabay.

Mbadi alitupilia mbali azma yake siku moja tu baada ya chama hicho kutangaza kuwa kitapitisha maafikiano katika baadhi ya maeneo ili kuepusha machafuko.

Alikuwa anapigania kuwania tiketi ya chama hicho na Mwakilishi wa Wanawake, Gladys Wanga.

Mbadi sasa ataangazia kampeni za urais za Raila Odinga.

Mengi yafuata;