Moja kwa moja na IEBC kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu 2022

Chebukati anaeleza kuhusu mikakati iliyowekwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa njia huru na haki

Muhtasari

• Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati na makamishna wa tume hiyo wanajibu mwaswali hukusu maandalizi ya uchaguzi mkuu 2022.