Nimeavya mimba 5 zile naweza kumbuka,nimelala na wanaume karibu 100-Cecilia Wambui afichua

Muhtasari
  • Nimelala na wanaume karibu 100-Cecilia Wambui
  • Wambui alisema baada ya kuacha kulala na wanaume, alijiunga na kanisa ambalo alikuwa analala na nyoka

Leo studioni katiia kitengo cha ilikuaje tulikuwa naye Cecilia wambui ambaye alisimulia mambo ambayo amlifanya akiwa na maiaka 17.

"Mimba ambazo nakumbuka nimeavya ni 5, nimekuwa nikiolewa na wanaume kisha tunaachana baada ya miezi miwili au tatu

kwetu tumelelewa na shida, nimekuwa nikiwachumbia 'sponsors' ambao wana pesa nyingi, kuna wakati mpenzi wangu alininunulia gari lakini nikauza kwa maana sikuwa nimehitimu mika ya kuendeha gari nikauza

 

Nilishikwa na nikaambiwa kwamba nimeiba gari, nilifunwa kwa miezi 4 na nikatoka, nikiwa rumande tulianza kuongea mambo na waganga

nikaambiwa ndoto yangu imeibiwa napaswa kuona mganga, nilipoona mganga mmoja alinipa dawa ili wanaume wavutiwe na mimi

nilikuwa nakula dawa hiyo nikiongea na mwanamume, kisha ananiuata na kumwambia kile nataka na kunipa,"Alieleza.

Cecilia alisemaa kwamba alibadilika mwaka wa 2020 baada ya kuona watu jinsi walivyokuwa wanafariki kwa ajili ya virusi vya corona.

Wambui alisema baada ya kuacha kulala na wanaume, alijiunga na kanisa ambalo alikuwa analala na nyoka.

"Muhubiri wa huyo kanisa alianza kulala na mimi, alikuwa anakuja kwa ndoto ananiambia nimguze sehemu zake za siri, nikimguza nyoka nyeusi anatoka kisha ana fanya ngono na mimi

nimelala na wanaume karibu 100,niliokoka baada ya kutenganishwa roho hizo chafu, kanisa hilo ni kubwa sana nilipokea simu yao juzi wakaniambia nikiwataja nitaona kwa hiyo nahofia maisha yangu

Najutia mambo ambayo nilifanya na nilipitia," Alieleza.

Kwa mengi zaidi tembelea radiojambo youtube.