PATANISHO:Nilikosana na mke wangu baada ya kukosa kuita mtoto wangu jina langu

Muhtasari
  • Nilikosana na mke wangu baada ya kukosa kuita mtoto wangu jina langu
Gidi na Ghost
Gidi na Ghost
Image: RADIO JAMBO

Katika kitengo cha patanisho bwana Kenga  alituma ujumbe ili apatanishwe na mkewe Purity ambaye walikosana baada ya kukataa kumuita mwanawe jina lake.

Huu aisimulia bwana Kenga alisema;

"Baada ya mke wangu kupata ujauzito alienda kwao na kuenda kujifungulia kwao, alipojifungua hawakumpa mtoto wangu jina langu nilitaka wampe mtoto jinalangu kwenye kyeti ha kuzaliwa

Ninahuhakika kwamba moto ni wangu, nilikuwa nagharamikia mahitaji yote alipokuwa na ujauzito,"Kenga alieleza.

Baada ya juhudi zetu za kumfikia mkewe kenga hakuwa na chochote cha kusema, ilhali alikata simu yetu.

Kwa mengi aidi temelea Radiojambo Youtube.

Je ushauri wako kwa bwana Kenga ni upi kuhusu jina lake kuwa kwenye kyeti cha mtoto wake.