Hamna mwanamume ambaye anaweza nifanya sidechick-Akothee

Muhtasari
  • Akothee asema hamna mwanamume anaweza mfanya 'sidechick'
  • Msanii Akothee anafahamika  kwa maisha yake ya utajiri na bidii alionayo katika kazi yake
akoth
akoth

Msanii Akothee anafahamika  kwa maisha yake ya utajiri na bidii alionayo katika kazi yake.

Akothee kwa muda amekuwa akpakia nyumba yake kwenye mitandao ya kijamii, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alikiri kwamba hamna mwanamume ambaye anaweza mfanya sidechick.

Alisema hayo huku akisema labda mwanamume ambaye anaweza tunza nyumba yake, kwa pesa zake mwenyewe.

"Hakuna mwanamume anaweza nifanya sidechick labda atunze nyumba hii na pesa ya mfukoni mwake

 Mtu yeyote anayekuja maishani mwangu, jua tu nyumba hii inagharimu sio chini ya elfu 500,000 kwa mwezi kutunza, ikiwa ni lazima tuwe tunagawana gharama 🤣 🤣 Hatujazungumza juu ya kwenda likizo 🤣🤣🤣🤣 au ada ya shule, saluni na vitu vingi AKOTHEE MBUZI WA AFRIKA. Sio kujionyesha bali hii ni ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣,' Aliandika Akothee.

Hizi hapa baadhi ya  hisia za mashabiki baada ya ujumbe wake Akothee.

theemwalimurachel: Mimi naona tuoane tu. 😂😂😂

drunkingbee: Acha majifuno sister, empty vassule makes atlot of noide

misslemiso: 😂😂and therefore kenyan men should keep off👏

okuto_joanne: And the way you keep on shouting that you want a man to marry you..mwanaume mgani atakubali kupigiwa kelele kwa social media, you interact with potential men but they are afraid of dating you because you are too noisy 🤭

jenta_wanjiru: Wewe Hutaki black stallion Wa kutoa tu Nyege???😂😂😂

tabs_maxwell: Am always proud of you❤️