Raila atakuwa rais asiyemuamini Mungu-Moses Kuria asema huku gumzo zikiibuka mitandaoni

Muhtasari
  • moses kuria adai kwamba Raila atakuwa rais asiyemuamini Mungu
Moses Kuria

Usemi wake rais Uhuru Kenyatta kuhusu ni wakati wa kabila nyingine kutawala nchi ya Kenya inazidi kuzua gumzo mitandaoni.

KUpitia kwenye ukurasa wa mbunge Moses Kuria wa facebook alimpa kinara wa chama cha ODM vijembe huku akisema kwamba akitawala nchi ya kenya atakuwa kiongozi ambaye asiyemuamini Mungu.

Ujumbe wake Mbunge huyo ulizua gumzo mitandaoni huku wengi wakikejeli na kushambulia ujumbe huo.

 

"Ninaamini kuwa baada ya Kibaki na Uhuru ni wakati sisi Wakatoliki kuwapisha wengine.Mkaribishe Rais Raila Odinga asiyemuamini Mungu." Aliandika Moses.

Kiongozi wa ODM Raila Odinga

Dini yake Raila imekuwa na mjadala kwa muda huku mahasisi wake wakisema kuwa kiongozi huyo ni 'mganga'.

Hizi hapa hisia za wakenya baada ya ujumbe wake Moses Kuria;

Jeff Songa: Kwani Kenya ni Kanisa.I thought you studied history and came across the topic 'Coming of the Church ' .Every community believed in God and had their way of worship.

Cyreen Kibet: The first man to get 2 votes but became the MP

Amos Nzau: Why is everyone obsessed with presidency? Why don't we come together and fix our country? The economy is in ICU, everything is sengemunenge

Mac Phillip: I recall one day you said Raila Odinga payed part of your university fees while you were a student pale UON.

 

Nelson Mwangi: And I woke up at 3 in the morning to vote that mlevi in!🙆🙆kwanza twice😭😭!I thought I was voting for an individual kumbe it was a tribe!🙄🙄

Zum Sum: What Uhuru said is final.. And he talked on behalf of the Agikuyu and he remains the region kingpin. #Jinyonge