Mwezi wa mahaba tele: Maceleb waliofanya harusi mwezi Aprili

Kabla ya harusi ya faraghani ya Kamene Goro na mpenzi wake DJ Bonez, awali arusi za Akothee na mzungu wake na ile ya Zari ziliteka anga.

Muhtasari

• Mwezi Aprili umeshuhudia harusi zaidi ya tano nchini ambazo zinawahusisha watu maarufu.

Watu mashuhuri waliofunga harusi mwezi Aprili
Watu mashuhuri waliofunga harusi mwezi Aprili