Kuacha mataani

‘Jinsi mhubiri alivyonipa mimba na kuniacha hoi’

Nimejipata na aibu kwa sababu kuna watu waliotuona na yeye usiku na amemtambulisha kwa mhubiri mkuu .

Muhtasari
  •  ‘ Nilikuwa nikiendesha shughuli zangu katika shule moja  wakati nilipomaliza shule, kisha baadaye nikaalikwa katika kanisa moja hapa jijini.
  •   Aliniambia sasa kwamba msichana huyo ndiye aliyekuwa mpenzi wake na hata alifanya uhusiano huo kuwa wa wazi na watu walijua

 

Amewashangaza watu wengi mwanamke mmoja jijini Nairobi akisumulia jinsi mhubiri katika  kanisa lao alivyomshawishi kuavya mimba  baada ya kuwa katika uhusiano wa kisiri na mhubiri huyo.

Mwanamke huyo alitumia mitandao ya kijamii kusimulia masaibu yake  na kueleza jinsi pasto huyo alivyomtumia , kumpa mimba kisha akamwacha  hoi .

 ‘ Nilikuwa nikiendesha shughuli zangu katika shule moja  wakati nilipomaliza shule, kisha baadaye nikaalikwa katika kanisa moja hapa jijini. Kila kitu kilikuwa sawa na hata nilikuwa nafanya mahubiri pia mimi. Nikakutana na pasta mmoja aliyekuwa single na alikuwa akinijali sana kwani mara nyingi angenipigia simu kuniuliza mbona sijakuja kanisani .

 

 HE WAS SOO COOL DAT WE BECAME VERY CLOSE. HE WAS PRACTICALLY MY BEST FRIEND..WE USED TO HANG OUT ALOT ESPECIALLY GO TO THE MOVIES…HE TOLD ME ALOT OF THINGS ESPECIALLY ON HOW HE WANTS TO GET MARRIED BEFORE THIS YEAR ENDS. ONE EVENING, HE TOOK ME TO DINNER N WHEN HE DROPPED ME BACK AT HOME, WE STARTED MAKING OUT N DEN HAD SEX. I FELT BAD COZ I COMMITTED D SIN WITH A PASTOR BUT HE WASN’T BOTHERED. HE EVEN WANTED ANOTHER ROUND…AFTER EVERYTHIN, WE PRAYED ABOUT IT BUT IT DIDN’T STOP THERE. WE WERE HAVING SEX ALMOST EVERYDAY N REPENTING EVERYDAY.

  Nilijua tulichokuwa tukifanya hakikuwa sawa lakini alikuwa akisema maisha yetu yatakuwa mazuri wakati tutakapooana . Tulikuwa tukionana kila siku lakini alikuwa akijificha kanisani. Ilifika wakati kila mtu akajua tulikuwa pamoja lakini hakuna aliyeweza kufikiria kwamba tulikuwa tukifanya mapenzi .

 Matatizo yalianza wakati nilipopata mimba. Sikujali kwa sababu alikuwa ameniahidi kwamba atanioa  . Alipojua alinikataa na tukatengana kabisa .. Baada ya Jumapili mbili nilimuona  na msichana mwingine aliyemtoa kutoka kanisa lingine .

  Aliniambia sasa kwamba msichana huyo ndiye aliyekuwa mpenzi wake na hata alifanya uhusiano huo kuwa wa wazi na watu walijua . Kisha akasema alikuwa na mpango wa kumuoa msichana huyo mwaka ufuatao  . Nimejipata na aibu kwa sababu kuna watu waliotuona na yeye usiku na  amemtambulisha kwa mhubiri mkuu .

I HAD NO CHOICE DAN TO ABORT D BABY COZ NO1 WUD EVA BILIV HE WAS RESPONSIBLE. MY CONFUSION IS DAT EVN THO HE HAS A GIRL, HE STILL WANTS US TO B BESTIES N ALSO TO KEEP HAVING SEX. I’V TRIED PUSHIN HIM AWAY COZ I WANT TO GET OVER HIM BUT HE WONT LET ME. EVEN IF I DONT PICK HIS CALLS, HE COMES TO MY OFFICE N D MORE I C HIM, D HARDER IT IS TO FORGET HIM..