Fahamu baadhi ya mambo ambayo yanawafananisha Akothee na Zari kimaisha

Wawili hao walivishwa pete za ndoa kwa mara ya pili katika maisha yao mwezi Aprili 2023, na kila mmoja ana watoto 5 wenye baba tofauti.

Muhtasari

• Wote wana umri wa miaka zaidi ya 40 na kila mmoja ana watoto watano kutoka kwa wanaume tofauti.

Mfanano ulioko kati ya Akothee na Zari Hassan.
Mfanano ulioko kati ya Akothee na Zari Hassan.
Image: RADIO JAMBO