Gen Ogolla, Kiptum, Chira, Fred Omondi… Wakenya maarufu ambao wamefariki kwa ajali 2024

Mpaka kufikia nusu ya mwaka huu wa 2024, tayari Kenya imeshuhudia watu maarufu wakiangamia katika ajali mbalimbali za vyombo vy usafiri.

Muhtasari

• Jenerali Francis Ogolla alifariki mwezi Aprili katika ajali ya ndege ya jeshi mpakati wa kaunti za Elgeyo Marakwet na West Pokot.

 

Wakenya maarufu waliofariki 2024 mpaka sasa
Wakenya maarufu waliofariki 2024 mpaka sasa
Image: HILLARY BETT